We na Paw mtawezana?mkigombana ye anakimbilia JF kukupiga ban,aah mi nipo nipo kwanza bhana
Vipi Mkuu upo kwenye Research?
Possibly ni vitu vinavyowezeka maana hakuna formula katika kuanzisha mahusiano ni vitu huwa vinajiseti vyenyewe.
kwani mna mda gani tangu mlipoanza mahusiano,teh teh
namaanisha PM,nadhani ulipewa PM ya warnings za ban halafu ukatumia huo mwanya kumtega
Ulijuaje? Na usiombe nikakutega. Utajuuuta!
Ila na yeye alitumia mwanya huo kunioa. So ngoma draw!
Nitafahamu kama unanitega,kwahiyo ni ngumu kumtega mtu
ambaye anafahamu unamtega.
Kama ngoma draw hapo umempatia,je maisha ya ndoa yakoje?
Vipi Mkuu upo kwenye Research?
Possibly ni vitu vinavyowezeka maana hakuna formula katika kuanzisha mahusiano ni vitu huwa vinajiseti vyenyewe.[/QUOTE]
...Neno hili inawezekana kabisa kumpata mwenzio hapa JF na hadi kufikia kufunga pingu za maisha.
Pole sana Mwali,si unajua tenaMimi nilikutana na Saint Ivuga humu humu,
Tukafikia level ya yeye kutoa mahari kabisa
Ila kuna mambo yalitokea hapa kati kati
Kwa sasa tumeachana (but tunaoneana wivu)
...Neno hili inawezekana kabisa kumpata mwenzio hapa JF na hadi kufikia kufunga pingu za maisha.