Aah wapi. Basi tu sijakuamualia kaka.
Maisha ya ndoa ni full burdani, yaani twakata mti twapanda miti. Wewe jilipue tu acha kudesa, utachemsha! Ohooo! Kabakabana kaenda wapi siku hizi?
Ivuga angekua ananitaka kweli angeonesha bidiiPole sana Mwali,si unajua tena
mapenzi hayatabiri,ila mgevumiliana tu
mana mlipofikia ni hatua nzuri,endelea bhana kumpa
somo mpaka mrudiane,yaani mnakubali kugive up ?
Mkuu ila hapa JF ishawahi kutokea wakafunga pingu za maisha?nadhani kama imetokea basi wamefanya kwa siri sanaVipi Mkuu upo kwenye Research?
Possibly ni vitu vinavyowezeka maana hakuna formula katika kuanzisha mahusiano ni vitu huwa vinajiseti vyenyewe.[/QUOTE]
...Neno hili inawezekana kabisa kumpata mwenzio hapa JF na hadi kufikia kufunga pingu za maisha.
Ivuga angekua ananitaka kweli angeonesha bidii
baada ya mimi kumwambia viishe jamaa akafurahiii
As if alikua anasubiri nimwambie hivo ili aondoke
We usimuonee huruma bwana, acha achape lapa.
Ivuga angekua ananitaka kweli angeonesha bidii
baada ya mimi kumwambia viishe jamaa akafurahiii
As if alikua anasubiri nimwambie hivo ili aondoke
We usimuonee huruma bwana, acha achape lapa.
hehehe kama ni burudani hivo aisee heri nijiunge soon,Kbkna sijui yuko wapi bhana hata hajanianga
Kama Kk alikuponyoka na alifunguka mwenyewe, taasisi ya ndoa ungeisubirisha kwanza. Muone Aspirin akupe ushauri nasaha, afu ukamalizie kwa babu dc. Hapa ni kushikamana kaka!
Tuwezane mara ya ngapi? Akinipiga ban jf mie namuwahi na ban ya bedroom. Tuone nani bingwa. Chezeiya, ukimwaga mboga namwaga ugali na maji ya kunawa nazimia moto!
Mkuu ila hapa JF ishawahi kutokea wakafunga pingu za maisha?nadhani kama imetokea basi wamefanya kwa siri sana
....Hilo sina hakika nalo lakini wanaweza kabisa kuamua kuminya badala ya kurudi hapa na kuanza kujitangaza kwamba tulikutana JF tukawa wapenzi na tumeshafunga pingu za maisha, labda siku za usoni wengi watajitokeza hadharani.
siku za usoni inaweza kutokea kabisa maana humu kuna couple za kutosha....Hilo sina hakika nalo lakini wanaweza kabisa kuamua kuminya badala ya kurudi hapa na kuanza kujitangaza kwamba tulikutana JF tukawa wapenzi na tumeshafunga pingu za maisha, labda siku za usoni wengi watajitokeza hadharani.
Haya mahusiano we yaache tu bhana ameniacha bila hata kudai talaka,siku hizi watu wamerahisisha mno,unazingua unakimbiwa bila taarifa
kuna watu humu ndani mnanifanya nisahau hata machungu ya kulala wodini.
Haya mahusiano we yaache tu bhana ameniacha bila hata kudai talaka,siku hizi watu wamerahisisha mno,unazingua unakimbiwa bila taarifa
Kumbe ulizingua mwenyewe? Tatizo lako unajiona handsome. Shauri yako, ongea na wazee. Si unajua nyani mzee amekwepa mishale ya kutosha? Pole weeh
Vyengine vilikuwa vya kiingereza, eti , sore you are not my typeKlorokwini jiulize bhana unafanyaje mana vibuti 6 siyo mchezo
Vyengine vilikuwa vya kiingereza, eti , sore you are not my type