CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,872
- 9,263
Kuna Dada mmoja ila sio Mbongo ingawa sikuwahi kujua kwa haraka haraka ulai wake ila alikuwa ni kama Mix ya Mzungu na Mwafrica sema kiswahili kilikuwa hakipandi.
Alikuwa ndo Bosi wa Food Lover's Market Arusha, hii Super Market ni very Expensive wanaingia sana Wazungu/Foregners,
Kilicho fanya nimkubali huyu Dada ulikuwa ukipeleka Products hawezi kuambia hapana au hatuchukui, yeye jibu ni leta tujaribu, wakati huo zile Min zetu na Super Market zingine ni full kukatishana tamaa na malingo kibao.
Niliwahi peleka Product fulani kwa kujaribu ikajikuta imefanya vizuri sana, na ikawa tunapeleka asubuhi ikifika jioni product imeisha unatumiwa sms upeleke tena.
Nilicho mpendea ni kwamba ana kuuliza una products gani zingine ulete tujaribu? sasa katika pitapita kwenye shelf zao ninaona Shayri ilio kobolewa iko packed na imetoka South Africa nikamwambia hii naweza supply, nikaingia chimbo kutafuta Shayri nikakoboa nikapack nikapeleka ikauzika sana.
Baadae nazani mkataba uliisha akasepa zake, na pia yeye ile kuogopa sijui TRA aanze kukuomba mlolongo wa Documents alikuwa hana hio wakati Super Market zingine kubwa utaombwa documebts hadi ukimbie na pia alikuwa analipa Cash.
Na pia ndo aliniambia kinacho fanya waagize products kutoka nje ni quality na pia Supply, ukikuta Qualitu ni nzuri basi Supply italeta shida na ukikuta Supply ni nzuri basi Quality ni tatizo hiki ndio kina pelekea waagize nje.