Sun is Sun
JF-Expert Member
- Mar 13, 2024
- 649
- 975
Habari za leo Wanajamiiforums?
Kwanza kabisa niwashukuru madaktari kwa Kazi nzuri mnayoendelea kufanya🙏.
Ila challenge yangu ni hii.Je,
Kuna daktari yeyote ambaye ana kitu cha ziada tofauti na ujuzi alioupata darasani? (Namaanisha ana tafiti yoyote ambayo amefanya inayoweza kuleta impact kwenye Jamii?
Ebu tu-refer issue ya USAID kujiondoa kutoa huduma Tanzania. Je, hamkuona aibu?
Mna vifaa vyote vya kuwawezesha
kufanya tafiti na mitishamba ipo.
Je ni kweli hamna Daktari anayeweza kuumiza kichwa ili tuondokane na aibu kama yale?
Mwisho, Nina mimea mitatu ambayo utafiti wake ukikamilika huenda ukatibu ugonjwa fulani mkubwa. Na kwa makadirio ya utafiti huu utachukua mda wa miezi mitatu au sita.
Daktari aliye tayari kuumiza kichwa aje PM tuone namna ya kufanikisha Jambo linaloweza kuleta matokeo chanya kwenye jamii asanteni.
Asanteni kwa kunisikiliza.