Kuna dalili mwaka huu 2024 kuwa na majanga mengi ya kiasili.

Kuna dalili mwaka huu 2024 kuwa na majanga mengi ya kiasili.

Hakuna janga wala nini tena mwaka huu ndio mwaka wa mavuno mengi mana mvua zimeanza novemba na tunazo mwaka mzima
 
Dar imezidi kwa madhambi acha mungu aiangamize tu. Hakuna namna
 
Tujiandae kisaikolojia,hali sio nzuri kwa upande wetu..dalili zimeshaanza kujionesha toka mwaka jana mwishoni.

Mimi sio mtaalam wa mambo ya hali ya hewa..lakini unaweza kuzingatia nilalosema au ukapuuza..
Ajaliyandege inakujaaa mkuuu
 
Back
Top Bottom