Kuna dalili Simba mwakani pakavu

Kuna dalili Simba mwakani pakavu

bulabo

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2015
Posts
628
Reaction score
780
Kwa hali ilivyo Simba possibly mwakani pakavu tena. Not sure kama BARBARA atatuvusha mwanamama huyu.

Akpan is OK, Je kuendelea kumtegemea MKUDE ni ngumu sisi kutoboa. Tatizo la MKUDE ni mvivu sana imagine Mkude acheze ktkt mnacheza na wydad au Mamelod. Kama SImba wanataka kubalance timu vizuri wapate mkabaji mzuri mwenye pumzi kama ya FRAGA.

Kama hatutaleta kiungo wa kukaba vizuri tujiandae pia SIMBA kumtegemea ONYANGO tumeishaaa tena
 
Kwani hamjawahi kucheza na AL AHLY huku MKUDE akicheza?Mpira umebadilika sana siku hz na kuna tofauti kati ya holding midfielder na defensive midfilder.

Unamuona SERGIO BUSQUETS au ulishamuona MICHAEL CARRICK akicheza? Hao ni namba 6 aina ya MKUDE ambao hawakimbii sana na kufanya tackling nyingi uwanjani isipokuwa timu nzima inafanya jukumu la kukaba wakati hawana mpira.

So inategemea mwalimu wa SIMBA atataka namba 6 wake achezeje.Kuna tofauti ya kiuchezaji kati ya namba 6 ya RODRI,FABINHO na KANTE.
 
Kwamba hatujawahi kucheza na team kubwa kwenye mashindano ya kimataifa tukiwa na Mkude?

Halafu hizi nyuzi za kijinga zimekuwa too much sasa, kila boya anaibuka tu na uzi wake kuhusu Simba Sc kwani hakuna content kuhusu club ya Yanga, au ni kwasababu haina engagement kubwa?
 
Comment hii [emoji115] imemaliza mjadala.
 
Simba mwakani atachukua tena ubingwa wa kombe la mapinduzi. Maana usajili wake wa msimu huu si mchezo.
 
Kwa hali ilivyo Simba possibly mwakani pakavu tena. Not sure kama BARBARA atatuvusha mwanamama huyu.

Akpan is OK, Je kuendelea kumtegemea MKUDE ni ngumu sisi kutoboa. Tatizo la MKUDE ni mvivu sana imagine Mkude acheze ktkt mnacheza na wydad au Mamelod. Kama SImba wanataka kubalance timu vizuri wapate mkabaji mzuri mwenye pumzi kama ya FRAGA.

Kama hatutaleta kiungo wa kukaba vizuri tujiandae pia SIMBA kumtegemea ONYANGO tumeishaaa tena
Acha wafu wazikane wenyew
 
Usajili unaofanyika ni tactical kumleta akpan pale kati na habib kule mbele naamini tutasumbua sana nxt season
 
Kwamba hatujawahi kucheza na team kubwa kwenye mashindano ya kimataifa tukiwa na Mkude?

Halafu hizi nyuzi za kijinga zimekuwa too much sasa, kila boya anaibuka tu na uzi wake kuhusu Simba Sc kwani hakuna content kuhusu club ya Yanga, au ni kwasababu haina engagement kubwa?
Logout usione ni simple as ABC
 
Kwa hali ilivyo Simba possibly mwakani pakavu tena. Not sure kama BARBARA atatuvusha mwanamama huyu.

Akpan is OK, Je kuendelea kumtegemea MKUDE ni ngumu sisi kutoboa. Tatizo la MKUDE ni mvivu sana imagine Mkude acheze ktkt mnacheza na wydad au Mamelod. Kama SImba wanataka kubalance timu vizuri wapate mkabaji mzuri mwenye pumzi kama ya FRAGA.

Kama hatutaleta kiungo wa kukaba vizuri tujiandae pia SIMBA kumtegemea ONYANGO tumeishaaa tena
Ulikuwa mbele ya muda
 
Back
Top Bottom