Comment hii [emoji115] imemaliza mjadala.Kwani hamjawahi kucheza na AL AHLY huku MKUDE akicheza?Mpira umebadilika sana siku hz na kuna tofauti kati ya holding midfielder na defensive midfilder.
Unamuona SERGIO BUSQUETS au ulishamuona MICHAEL CARRICK akicheza? Hao ni namba 6 aina ya MKUDE ambao hawakimbii sana na kufanya tackling nyingi uwanjani isipokuwa timu nzima inafanya jukumu la kukaba wakati hawana mpira.
So inategemea mwalimu wa SIMBA atataka namba 6 wake achezeje.Kuna tofauti ya kiuchezaji kati ya namba 6 ya RODRI,FABINHO na KANTE.
Acha wafu wazikane wenyewKwa hali ilivyo Simba possibly mwakani pakavu tena. Not sure kama BARBARA atatuvusha mwanamama huyu.
Akpan is OK, Je kuendelea kumtegemea MKUDE ni ngumu sisi kutoboa. Tatizo la MKUDE ni mvivu sana imagine Mkude acheze ktkt mnacheza na wydad au Mamelod. Kama SImba wanataka kubalance timu vizuri wapate mkabaji mzuri mwenye pumzi kama ya FRAGA.
Kama hatutaleta kiungo wa kukaba vizuri tujiandae pia SIMBA kumtegemea ONYANGO tumeishaaa tena
Logout usione ni simple as ABCKwamba hatujawahi kucheza na team kubwa kwenye mashindano ya kimataifa tukiwa na Mkude?
Halafu hizi nyuzi za kijinga zimekuwa too much sasa, kila boya anaibuka tu na uzi wake kuhusu Simba Sc kwani hakuna content kuhusu club ya Yanga, au ni kwasababu haina engagement kubwa?
Sawa mke wa Max Mello.Logout usione ni simple as ABC
Ulikuwa mbele ya mudaKwa hali ilivyo Simba possibly mwakani pakavu tena. Not sure kama BARBARA atatuvusha mwanamama huyu.