Kuna dawa kweli ya kuongeza makalio au ni dhihaka kwa wadada?

Rebeca 83

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2016
Posts
15,136
Reaction score
32,268
Hivi ni kweli kuna dawa za kuongeza makalio? Au ni dhihaka tu kwa wadada?

Leo tumalize huu upuuzi, kama kuna dawa ya kuongeza makalio iwekeni hapa tujue.

Lengo ni kujua kama ninaweza kui apply kwenye miguu yangu niwe na miguu ya bia, 😀😛
 
Hivi ni kweli kuna dawa za kuongeza makalio???,au ni dhihaka tu kwa wadada?

leo tumalize huu upuuzi,kama kuna dawa ya kuongeza makalio iwekeni hapa tujue....

lengo ni kujua kama ninaweza kui apply kwenye miguu yangu niwe na miguu ya bia, 😀😛

Aisee kumbe una miguu ya miwa, ngoja waje
 
Hivi ni kweli kuna dawa za kuongeza makalio? Au ni dhihaka tu kwa wadada?

Leo tumalize huu upuuzi, kama kuna dawa ya kuongeza makalio iwekeni hapa tujue.

Lengo ni kujua kama ninaweza kui apply kwenye miguu yangu niwe na miguu ya bia, 😀😛
Hahaaa ..hakuna ridhika na uumbaji wa Mungu
 
Surgery yes zinafanyika...

Sponge yes zinavaliwa...

Sindano yes wanachomwa...

Dawa za kupaka sijui...

Cc: mahondaw
 
Hivi ni kweli kuna dawa za kuongeza makalio? Au ni dhihaka tu kwa wadada?

Leo tumalize huu upuuzi, kama kuna dawa ya kuongeza makalio iwekeni hapa tujue.

Lengo ni kujua kama ninaweza kui apply kwenye miguu yangu niwe na miguu ya bia, 😀😛
Zipo, tembelea vyuoni hasa ndiko zimeshamili, au mfuate wema. Zinanenepesha makalio na miguu. Gharama nadhani ni kama elfu 60 kama sijakosea, mhusika hutakiwa kupaka kama mafuta sehemu anayotaka iumuke/inenepe, hivyo kama ni kalio au mguu basi hupaka. Ni kitu hatari sana ingawa serikali naona hawajang'amua, ni kitu ambacho kinakuja kuteketeza mabinti wengi
 
Back
Top Bottom