MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,113
- 65,124
Unataka mwenzako atoke vigimbi kama viazi utamu eeh ???Mazoezi ya squarts(sina uhakika na spelling) ni dawa tosha ya kukuza makalio ndani ya siku 7[emoji23]
Teh teh..Muhimu brazaBwahahahaha, brazah unachunguza balaa!
Live aisee usijekuuziwa mbuzi kapuni....Teh teh..Muhimu braza
Mpare huyoWewe ni mchaga?
Huyo kwenye DP ni wewe?Mpare huyo
[emoji23] [emoji23] hatoki vigimbi buana hahaha kwani anafanyia milimani?Unataka mwenzako atoke vigimbi kama viazi utamu eeh ???
Teh teh una dhambi sana wewe jamaa!
Nimemkumbuka dada mmoja supastaaTeh teh..Na miguu uendana na chura..Ukiona fito zimebeba mzigo ujue huo ni wa kununua dukani
Ikawaje?Nilikutana na dogo amemaliza form 4 kaletwa dar kusoma kakutana na marafiki chuo akapata dawa ya kunenepesha miguu kila cku ucku anajipaka akilala ckutaka kuingilia nikaubana
Haha nilifikiri unamaanisha squatting ule yakurusha majiiMazoezi ya squarts(sina uhakika na spelling) ni dawa tosha ya kukuza makalio ndani ya siku 7[emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] bebe sitaki ujueHaha nilifikiri unamaanisha squatting ule yakurusha majii
Ckujua miguu imeendeleaje kwasabbu anaish mbali na mm kwa sasaIkawaje?
Nani huyo.?Nimemkumbuka dada mmoja supastaa
Sure..Live aisee usijekuuziwa mbuzi kapuni....
Wanamuta Tz sweetheartNani huyo.?
Mwenye makalio yenye dimpozWanamuta Tz sweetheart
Hapana ni kabinti kanguHuyo kwenye DP ni wewe?
Kabisa yani sema tu wadada wavivuMazoezi ya squarts(sina uhakika na spelling) ni dawa tosha ya kukuza makalio ndani ya siku 7[emoji23]