Kuna dawa yoyote ya kuondoa sisimizi ndani?

Kuna dawa yoyote ya kuondoa sisimizi ndani?

Matukutuku

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2014
Posts
269
Reaction score
126
Jaman wanajamvi hii changamoto ya sisimizi ndani mnaifanyajr fanyeje.

Kuna dawa yeyote ya kuondoa sisimizi ambayo sio sumu manake naogopa watoto wadogo waliopo ndani kwangu.

Msaada plz
 
Angalia usafi wa mazingira ya ndani na nje,usipende kumwaga vyakula ndani au sukari,

Pia angalia kama kuna tundu wanapoingia na kutokea,
Sisimizi hana madhara wala usiwaue.

Najua umesema Sisimizi na sio Sungusungu.
 
Nami nasubiria solutions maana dawa ya mbu haijaweza kuwamaliza
 
Angalia usafi wa mazingira ya ndani na nje,usipende kumwaga vyakula ndani au sukari,

Pia angalia kama kuna tundu wanapoingia na kutokea,
Sisimizi hana madhara wala usiwaue.

Najua umesema Sisimizi na sio Sungusungu.
Asante kwa ushaurii [emoji120][emoji120][emoji120]
 
Tumia Lava Unaichanya Na Maji Unainyunyizia

Hii hatari sana nchi imepata uhuru 1961 leo hii hatujaweza kudhibiti sisimizi na mavyuo yote haya
 
Nenda tu hapo duka la dawa za mifugo na kilimo utapata chapu.
 
Poda ya kawaida kabisa wanaopaka Wanawake inaondoa wadudu karibu wote watambaao akiwemo sisimiza na mende

Kama unataka dawa kali sana tumia Lava, ya Uganda
 
Attachments

  • 20220605_155025.jpg
    20220605_155025.jpg
    299.1 KB · Views: 125
Back
Top Bottom