Matukutuku
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 269
- 126
Assnte mkuu nashukuru sanaTumia akher powder mkuu
Mbona nasikia ni sumu? Mi nahitaji ambayo haina sumuTumia akher powder mkuu
Weka picha mkuuTumia akher powder mkuu
Asante kwa ushaurii [emoji120][emoji120][emoji120]Angalia usafi wa mazingira ya ndani na nje,usipende kumwaga vyakula ndani au sukari,
Pia angalia kama kuna tundu wanapoingia na kutokea,
Sisimizi hana madhara wala usiwaue.
Najua umesema Sisimizi na sio Sungusungu.
Hii hapa, inauwa sisimizi ndani dakika mbiliWeka picha mkuu