Kuna dawa za kuzuia ndevu kuota?

Kuna dawa za kuzuia ndevu kuota?

mikumiyetu

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2016
Posts
1,312
Reaction score
944
Habari ya jumapili wandugu,

Hivi hamna dawa ya kuzuia ndevu zisiote tena yaani milele katika katika kidevu.
 
yn watu tunataka yatapakae mpk mashavuni..mwenzetu unaulizia dawa[emoji23][emoji23]
 
chukua kweme saga chemsha hadi zbak .mafuta paka kwene kidevu baada ya kunyoa

nb hazisababishi nywele kuacha kuota zchelewesha nwele kuota
 
Kama nilivyojieleza mi ni binti wa miaka 24 nimepata tatizo la kupata ndevu kiukweli linanikosesha Amani nahitaji mtu anayejua dawa anisaidie kuna mtu alinishauri kufanya laser hair treatment lakini nimeshindwa sababu ni mpaka nje ya nchi na ukizingatia mi mwanafunzi wa chuo so itanikosesha nafasi matibabu yake yanachukua mpaka session nane au kumi na hufanyika kila baada ya mwezi kwa hiyo isingekuwa rahisi kupata mda so plz kwa mtu anajua dawa anisaidie au hata mtu anayetibu anidirect ila iwe nchini
 
Back
Top Bottom