VINICIOUS JR
JF-Expert Member
- Dec 29, 2022
- 208
- 518
Kwani mlikubaliana akila hela nini kitafuata?Wakuu bila kupoteza mda naomben maoni yenu hela za muhun haziliwi bure *****.
Hiyo Hela ungeipeleka kanisani si ungekuwa umejiwekea akiba mbinguni?........Wakuu bila kupoteza mda naomben maoni yenu hela za muhun haziliwi bure *****.
Nenda kamchomoe kwao kama wale Gen Z wa Kenya walivyotaka kumchomoa Ruto Toka IkuluWakuu bila kupoteza mda naomben maoni yenu hela za muhun haziliwi bure *****.