Kuna Dogo anataka kujifunza usonara

Kuna Dogo anataka kujifunza usonara

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
18,037
Reaction score
33,681
Bwana Mdogo kamaliza Chuo, hataki kuajiriwa. Anataka kujiajiri mwenyewe na kazi ambayo ameichagua NI kuwa sonara
Anatafuta sehemu ambayo anaweza kujifunza usonara.

Kwa mwenye Abc kuhusu usonara plz afunguke hapa.

Sonara yupi anatoa mafunzo ya usonara.

Gharama zake zikoje na kupata basic knowledge ya smithing inaweza kumchukua muda gani?

With much thanks in advance

# He is in Dar Es Salaam
 
Asante Sana mkuu
 
Back
Top Bottom