Kuna Du’aa Maalumu Ya Swalaah ya Dhwuhaa?

njia ya saada

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2018
Posts
320
Reaction score
216
SWALI: ASALAM ALAYKUM, SWALI NI HIVI, KWENYE SWALA YA DHUHA KUNA DUA MAALUM INAYOTAKIWA ISOMWE? NAOMBA MSAADA WENU.
JIBU: AlhamduliLLaah Himidi Anastahiki Allaah (Subhaanahu wa Ta’aala) Rabb wa walimwengu, Swalaah na salamu zimshukie Nabiy Muhammad (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhwiya Allaahu 'anhum) na waliowafuata kwa wema mpaka Siku ya Mwisho. Hakuna Du’aa maalumu katika Swalaah hii, bali unaweza kuomba baada ya kuimaliza Du’aa zozote upendazo mwenyewe. Bonyeza kiungo kifuatacho upate maelezo zaidi kuhusu Swalaah hiyo: Swalah Ya Dhwuhaa - Rakaa Zake, Fadhila Zake na Wakati Wake Na Allaah Anajua zaidi
 
Unakusudia kutuambia nini?

Tunahusika vipi?

Jibu kinagaubaga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…