Down To Earth
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 21,940
- 16,643
Our galaxy milkway ambayo nyota yetu ipo ina miaka bilioni 13.6. Dunia ina miaka zaidi ya bilioni 4 binadamu tumekuwepo kwa miaka 250,000 yrs. Na bado tutakuepo. We mean so little in the grand scheme of things hatuna huo uwezo wa kuharibu dunia hata tukijaribuHivi Kuna uwezekano dunia ikawa bado ni mahali pa kuishi katika miaka hiyo!?
Nadhani binadamu watakuwa wamebadilika na kuwa kiumbe flani hivi kama zombie
Afadhali, wapeleke wa Israel uko ili kuondoa full apa dunianiKuna Dunia nyingine mpya imepatikana
View attachment 3239360
Wanasayansi kutoka Nasa wamethibitisha kuwepo kwa sayari mpya aina ya HD 20794D Super Earth 🌎, iliyoko umbali sawa na miaka 20 ya miale ya mwanga katika eneo ambalo nyota zinakaa. Sayari hii kwa ukubwa ni takribani Mara sita ya Uzani wa Dunia.
Iligunduliwa kupitia mfumo wa Radial ufanya kazi ya kufuatilia mifumo ya nyota na kufanikiwa kunasa picha za moja kwa moja kuhusu Dunia mpya ambapo mzunguko wake wa Duara unaamanisha kuwa inazunguka ndani na nje ya eneo linaloweza kukaliwa na kuzua maswali mengi kuhusu uwezekano wa kukaliwa na maisha yakawa yanaenda.
View attachment 3239362
Misheni za siku zijazo ni kuhusu uwezekano wa wanadamu kukaa kwenye Sayari zingine ambazo mwanzoni watu walikua wanajua haiwezekani ila miaka ijayo inawezekana na haswa kugundulika kwa Dunia mpya kutachochea zaidi watu kuishi huko.
Majibu yapo ila hayo maradhi ni chanzo cha utajiri wa wakuu wa dunia ndio maana wamekaa kimyaHaya science na tech inazidi kugundua mengi zaidi
Wageukia matibabu maana ndiko wamekosa majibu kabisa
Hata hao wakuu wa dunia hayo maradhi yanawachukua eg Steve Job au ye sio mkuu miongoni mwao!?Majibu yapo ila hayo maradhi ni chanzo cha utajiri wa wakuu wa dunia ndio maana wamekaa kimya
Hahahaha kwanini Mwamba?Mfumo wa Radial? Wanatuona sisi kama matako yao.
Kwa kuwa umegoma kuifungua akili yako zaidi.Huo ni uongo bhana