Kuna elimu gani juu ya Kupandisha mashetani?

Mkwaja

Member
Joined
Dec 8, 2014
Posts
35
Reaction score
3
Heshima kweni wakuu. Nilikuwa nasikia halafu nikajionea mwenyewe. Mtu anapiga kelele, kutetemeka na kusema maneno ya ajabuajabu eti kapandisha shetani.

Inakuwaje sipati jibu. Nawaombeni mnielimishe kuhusu hili karibuni wakuu.
 
Last edited by a moderator:
Heshima kweni wakuu. Nilikuwa nasikia halafu nikajionea mwenyewe. Mtu anapiga kelele, kutetemeka na kusema maneno ya ajabuajabu eti kapandisha shetani.

Inakuwaje sipati jibu. Nawaombeni mnielimishe kuhusu hili karibuni wakuu.

Unataka kujua nn haswa!?
 
Heshima kweni wakuu. Nilikuwa nasikia halafu nikajionea mwenyewe. Mtu anapiga kelele, kutetemeka na kusema maneno ya ajabuajabu eti kapandisha shetani.

Inakuwaje sipati jibu. Nawaombeni mnielimishe kuhusu hili karibuni wakuu.

Anatakiwa asomewe dua inaitwa rukia, hio lazima huyo jini atoke, tena maisha harudi, majini yapo mkuu.
 
Back
Top Bottom