Stress tunatofautiana mkuuMaisha yanakuwa rahisi kivipi mkuu? Unadhani matajiri wanaishi maisha ya furaha hapa duniani? Wana stress kama zote mkuu. Tajiri analala kwa saa 2 tu kila siku maisha yake yapo rahisi kivipi?
ukishautukana utajiri huo ni uzwazwaSoma uzi kwanza usikurupuke kujibu bila kusoma mkuu.
I'm talking from experienceMaisha yanakuwa rahisi kivipi mkuu? Unadhani matajiri wanaishi maisha ya furaha hapa duniani? Wana stress kama zote mkuu.
Ila matajiri wa arabuni ndio wanafaidi thamani ya utajiri wao , kule kuna watu wanaishi kifahari mno ,mpaka vikombe wana tumia vya dhahabu🤔Hao matajiri wanatoa ajira kwa watu ambao bado hawajawa matajiri,
Kila tajiri akisema afunge biashara zake ili atumie hela zake tu mpaka kufa,ni familia ngapi zitateseka kwa kukosa ajira?
Wewe unaonekana una ubinafsi sana,hao matajiri wanatengeneza wealth generation ya vizazi na vizazi,hawajingalii tu wao kama wao.
kama ni hivyo asilimia zilizobaki wanamiliki akina nanNa cha kushangaza karibu utajiri wote wadunia una milimlika na watu asilimia 1% tu wanadamu wote duniani🤔