Kuna faida gani kuwa tajiri?

Umaskini una faida gani zaidi ya fedheha tu?
 
Maskini anakula chakula gani ambacho kinaweza kumletea magonjwa ya presha, kisukari na kidney failure mkuu?
 
Ila matajiri wa arabuni ndio wanafaidi thamani ya utajiri wao , kule kuna watu wanaishi kifahari mno ,mpaka vikombe wana tumia vya dhahabuπŸ€”
Nikitolea mfano wa kikombe cha dhahabu nitakuwa nakuonea acha nikuulize hivi vya kawaida.

Kwakua wewe ni mlevi, naomba niambie kuna utofauti gani wa kutumia glass ya tshs 3000 na glass ya tsh 10000 unapokunywa bia au nyagi?

Je, kuna mabadiliko yoyote ya radha?
 
Maskini anakula chakula gani ambacho kinaweza kumletea magonjwa ya presha, kisukari na kidney failure mkuu?
hizo ni majaliwa tu, unaweza ukawa mfanya mazoezi mzuri na ukafa na pressure na unaweza kua mvivu ama mvuta sigara na ukaishi miaka mingi
 
Kwanini dhahabu unionee ? Tuanzie hapo kwanza
 
Kwa kauli yako kuwa waarabu wananywea kikombe cha dhahabu nikajua wewe hujawahi.

Ndio maana nikaonelea nitolee mfano wa vitu tunavyotumia daily.

Haikuwa kwa nia mbaya lkn
 
Kwa kauli yako kuwa waarabu wananywea kikombe cha dhahabu nikajua wewe hujawahi.

Ndio maana nikaonelea nitolee mfano wa vitu tunavyotumia daily.

Haikuwa kwa nia mbaya lkn
Nikiwa na miaka 22 mwaka 2008 , nilifunga ndoa , nikanunua peta za dhahabu si chini ya mili 10πŸ˜… kwa jasho langu, japo na ndoa ilisha vunjika, hivyo dhahabu ni kawaida japo bado sijawahi kunywa chai na kikombe cha dhahabu πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Ila arabuni wapo matajiri kila kitu chao kina nakshi ya dhahabu
 
Maskini anakula chakula gani ambacho kinaweza kumletea magonjwa ya presha, kisukari na kidney failure mkuu?
Mkuu sasa hivi mambo yamebadilika, fast food chains zimejaa Sana mitaani tena vyakula vinapikwa bila Elimu na utaalamu, wanaoongoza kunywa soft drinks ni maskini ndio maana utaona retails shops zote mitaani TZ zimejaza vinywaji vya Coke, Pepsi nk kama utakuwa upo Dar au miji mikubwa TZ utaona vibanda vya fast foods kibao na hizi locar bars ambapo vinywaji vya poor quality vinauzwa, pita vijiweni vyovyote hasa boda boda utaona kuna vijana wawili watatu wanakunywa, zamani ilikuwa Kula fried chicken ni Kwa matajiri but sasa hivi Ngoma imegeuka mkuu, wikiend maskini na daraja la Kati wamejaa wanapiga Tu... Matajiri wengi huzingatia quality. Maskini Hana Elimu ya afya yeye anategemea mungu
 
Ukiwa tajiri unakua na options

Mfano:
1)Upo zako dar unataka kwenda dodoma
-kama ni tajiri utaamua utumie usafiri gani, dereva anaweza akawasha G- wagon akakukimbiza chap, unaweza ukapanda ndege au sgr hata basi la shabiby ikibidi.

-Kama ni maskini, utake usitake lako ni basi tena la third class.

2)ukiwa tajiri ukachoka kula ugali, unaweza kuagiza moja kati ya vyakula vingi mfano pizza,mkate,fruit salad,samaki mzima, ndizi

Ukiwa maskini ukichoka kula wali ni ugali.
 
Utajiri na umaskini ni subjective terms mkuu. Kila mtu anatafsiri umaskini na utajiri kwa vigezo vyake. Hakuna kipimio halisi. Hata MO akijilinganisha na Elon Musk anajiona ni maskini wa kutupwa!Sahihi, ivo kila mmoja aangaike na maisha vile inafaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…