Kuna Faida gani za kuwa na company?

Jumaa gosso

Senior Member
Joined
Sep 4, 2016
Posts
188
Reaction score
127
Habari wana JF,

Ningependa kuzijuwa fursa zakuwa na company, mfano company inayojiusisha na ufugaji wa kuku wa nyama na na kuku wa mayai. [emoji120] [emoji120]
 
Ni rahis kupata tenda kubwa na za maana ukiwa na kampuni kuliko ukiwa mtu tu.

Ni rahisi kupata mkopo

Ni rahisi kufanya large scale mana itakuongezea wateja na uhitaji hivyo utataka kuzalisha zaid kila siku

Utaajir watu wengine hivyo kulisaidia taifa kupunguza matatzo ya ajira
 
Kampuni inavaa uhalisia na kuishi hivyo kupata uwezo wa kushitaki ama kushitakiwa(legal entity)
Uhakika wa kuaminiwa maana ipo kisheria.
Uwezo wa kuendesha mambo yake kwa kufuata Sheria,kanuni na taratibu.
Uwezo wa kulipa maduhuri mbalimbali ya serikali.
Uwezo wa kuheshimika pia nk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…