Kuna faida mnaofanya matangazo ya biashara na tiktokers wa Tanzania

Kuna faida mnaofanya matangazo ya biashara na tiktokers wa Tanzania

Bullshit

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2016
Posts
1,357
Reaction score
1,596
Jamani tupeane uzoefu.

Mara nyingi natumia Instagram na YouTube kutangaza biashara yangu, lakini nataka kuongeza njia mpya za kufanya matangazo. Nimejaribu kuwasiliana na TikTokers kadhaa wa Bongo, lakini bei zao ni kubwa. Mfano, Kiredio aliomba milioni 6 kwa matangazo manne, na wengine wanadai 500k au 2M. Bei zao zinanifanya nijione bora kubaki na Instagram na YouTube, kwani naona zinaweza kufanya vizuri zaidi kuliko wao.

Nimekuja kwako unipe uzoefu wako kuhusu kutangaza na hawa TikTokers, hali ikoje?
 
Back
Top Bottom