HorsePower
JF-Expert Member
- Aug 22, 2008
- 3,612
- 2,567
Samahani wadau, ningependa kujua ni nini hasa faida ya kuwa na nyumba ndogo? Binafsi naona kama nyumba ndogo ni resource consuming in terms of muda na pesa, pia zina inconviniences nyingi kwenye mahusiano. Naomba maoni yenu maana naona wengi wananyumba ndogo despite ya matatizo haya niliyoyaeleza.
HP,Samahani wadau, ningependa kujua ni nini hasa faida ya kuwa na nyumba ndogo? Binafsi naona kama nyumba ndogo ni resource consuming in terms of muda na pesa, pia zina inconviniences nyingi kwenye mahusiano. Naomba maoni yenu maana naona wengi wananyumba ndogo despite ya matatizo haya niliyoyaeleza.
HP,
Samahani kama nitakukwaza,
Umri wako unakaribia ngapi?
Hivi kuna uhusiano kati ya umri na nyumba ndogo? Naamini mwenye nyumba ndogo yoyote ana umri wa kupambanua na kuchanganua mambo!
"Hivi topic za nyumba ndogo haziwezi kupumzika?" (Lizy, 2011) Naunga mkono Hoja. Am fed up na hizi topic jamani, mnapenda kutuweka wenzenu roho juu.
Tuongelee mambo ya kuboresha mahusiano na tupunguze kuongelea vitu haramu
Umri unahu sana kwenye nyumba ndogo na ana maana sana hapo.
Watu wazima wote tunajua kazi ya nyumba ndogo ila wadogo wengi huwa hawajui, ila kama ni mdogo ukikuwa utaacha.
Ventilation shaft inahusu sana
Haramu zote tamu, afu nyumba ndogo zinatuongezea akili ya kutafuta hela kwa ajili ya nyumba ndogo na kubwa.
Zinatufanya tunapumzika roho na mwili, akili na maini tukitoka hapo tunajenga nchi kwa amanai.
Kwa hiyo haziwezi pumzika hata siku moja
Haramu zote tamu, afu nyumba ndogo zinatuongezea akili ya kutafuta hela kwa ajili ya nyumba ndogo na kubwa.
Zinatufanya tunapumzika roho na mwili, akili na maini tukitoka hapo tunajenga nchi kwa amanai.
Kwa hiyo haziwezi pumzika hata siku moja
Kila dhambi aifanyayo mwanadamu ni nje ya mwili wake isipokuwa dhambi ya uzinzi, nyama ni ileile ila bucha ndo tofauti, sasa kipi unachofata nje ambacho mkeo hana, watu dizaini yako huwa mnanichefua sana roho coz mkipata hizo nyumba ndogo mnasahau hadi mke na watoto. Nakushauri uachane na huo mpango wa kishetani.
Nakuunga mkono kongosho,nyakati hizi ukishakua na mume ujua swala la mke mwenza huwezi kuliepuka,hayo mambo hata kwetu yaaaaaapo
Nyumba ndogo utazijuwa tu... Wala hazijifichi kwa jinsi zinavyopenda kujisifiaInajua kufariji kuliko nyumba kubwa
Kinachofuatwa nje ni faraja pindi nyumba kubwa inapoboa.. We muulize Fidel80 atakuelezaJamani tukubali tukatae nyumba ndogo zipo,bora hili lijadiliwe ili tujue huko nje ni kitu gani wanafuata,na sisi tulio ndani tufanyaje,tunahitaji maada zaidi za nyumba ndogo please,boss upo,