Kuna faida zipi na hasara zipi kwa kufanya mapenzi kila siku ya kalenda?

Kuna faida zipi na hasara zipi kwa kufanya mapenzi kila siku ya kalenda?

colin_morgan

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2015
Posts
2,443
Reaction score
2,912
Habar wakuu ,
Daah leo nataka tu share faida na hasara na kufanya tendo la ndoa kila sku

Binafsi nimekua mfuasi wa daily sex siwez kukosa hata sku moja bila ya sababu zisizoepukika

Wazungu wanasema too much is harmful naamini kutakua na athari za kufanya hili tendo kila sku na pia inaweza kua kuna faida pia

Mnakaribishwa jaman kuchangia mawazo maana daah ishakua addiction sasa najikuta siwezi ku skip day bila ku do ......



Sent using Jamii Forums mobile app
 
1. Kula vizuri; vyakula vya faida. Siyo chips
2. Kunywa maji ya kutosha
3. Fanya mazoezi ya mwili hata mara tatu kwa wiki.

Hutojutia labda matokeo yaje baadae sana.

Ilifikia hatua nikaenda kuuliza kwa Doctor.

Ila uwe unajipa muda wa kupumzika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Faida ni nyingi kuliko hasara

Repent *4 cause we're two steps away from a real disaster, think there is a boss but a who are the master?life set a pace, everything's much faster need to slow down and pray, forgive them
 
Faida ni ule utamu tu wakati wa mechi

Hasara ni nyingi sana! Mfano utakuwa mchovu siku zote, utapungua mwili hasa mwanaume, utashindwa kufurahia michezo mingine, macho kuwa kama yanawashawasha na sometime yanatoa umajimaji, kushindwa kutazama mianga mikali, kujiweka mbali na bahati za ulimwengu, kushindwa kudamka asubuhi na mapema, kama ni mtu wa kutafakari/meditation hutoona matokeo ya tafakuri yako labda kwa kubahatishabahatisha, kama huna kipato kizuri cha uhakika kuna hatari ya kutoona umuhimu wa maisha/waweza kufika wakati ukatamani kuwahi siti mbinguni, ngozi kukunjamana kama ya mzee, kuwa teja wa mapenzi au kuanza kutamani kufanya mapenzi kinyume na maumbile, KUKOSA HAMU YA KULA, kuchaguachagua vyakula vya kula, kupoteza kumbukumbu /kusahausahau, kupoteza hamu ya kufanya kazi, kusinzia hovyohivyo hata kwenye mikusanyiko ya watu, kujitenga na watu kwa kiasi fulani, kuwa na mwonekano kama wa mlevi hata kama wewe sio mnywaji na mengine mengi.

Dalili hizi ni kwa wale wanaofanya mapenzi kila siku na kwa kupiga round ndefundefu.

Kama huli chakula bora usiendekeze sana mapenzi!
Fanya mara 1 kwa week au mara 2

Ukiendekeza mapenzi sana utaua watoto na njaa
 
Hasara yake ni kwamba unaharibu mwili maana hiyo shughuli inatumia energy nyingi so unapofanya kila siku unamaliza reserve ya energy yako

Sent usingJamii Forums mobile app
 
dah acheni kutumia kutumia spam bure jaman
 
uwezo wa kufikiri utapungua, kinga za mwili zitashuka, utakonda, nywele zitabadilika rangi/zitakua zinanyonyoka. hii yote kama sperms utakua unatoa sana
 
Back
Top Bottom