Faida ni ule utamu tu wakati wa mechi
Hasara ni nyingi sana! Mfano utakuwa mchovu siku zote, utapungua mwili hasa mwanaume, utashindwa kufurahia michezo mingine, macho kuwa kama yanawashawasha na sometime yanatoa umajimaji, kushindwa kutazama mianga mikali, kujiweka mbali na bahati za ulimwengu, kushindwa kudamka asubuhi na mapema, kama ni mtu wa kutafakari/meditation hutoona matokeo ya tafakuri yako labda kwa kubahatishabahatisha, kama huna kipato kizuri cha uhakika kuna hatari ya kutoona umuhimu wa maisha/waweza kufika wakati ukatamani kuwahi siti mbinguni, ngozi kukunjamana kama ya mzee, kuwa teja wa mapenzi au kuanza kutamani kufanya mapenzi kinyume na maumbile, KUKOSA HAMU YA KULA, kuchaguachagua vyakula vya kula, kupoteza kumbukumbu /kusahausahau, kupoteza hamu ya kufanya kazi, kusinzia hovyohivyo hata kwenye mikusanyiko ya watu, kujitenga na watu kwa kiasi fulani, kuwa na mwonekano kama wa mlevi hata kama wewe sio mnywaji na mengine mengi.
Dalili hizi ni kwa wale wanaofanya mapenzi kila siku na kwa kupiga round ndefundefu.
Kama huli chakula bora usiendekeze sana mapenzi!
Fanya mara 1 kwa week au mara 2
Ukiendekeza mapenzi sana utaua watoto na njaa