ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Nimeanza kucheza betting ya akili sasa hivi na deal na odds 1.27 mpaka 1.30 halafu mkeka wa accumulation mecchi 4 tu zilete odd ya 2.68 na zaidi na sio single bet mtaji ni laki 2 na natumia finobacci system.matokeo yanaenda vizuri nataka hela yoyote ndogo nitakayokuwa nakula niwe naitoa naipeleka kwenye kibubu ile inayozidi kwenye mtaji wangu.maana nimeona hela ukiitunza kwenye simu vishawishi vyingi vya kukufanya uzidi kuichezea au kuitumia..nitawapa mrejesho kamili baada ya mwezi nikikipasua kibubu.