Kuna foleni kubwa Mlandizi hadi Chalinze, zaidi ya masaa matatu magari hayatembei

Hio njia isipotanuliwa kuwa njia sita hii kero haitaisha milele. Likiharibika Lori moja tu njia inafunga. Nashukuru huwa situmii hio njia kabisa. Napita zangu Bagamoyo.
 
Haya ndo matokeo.ya nchi kuongozwa na wajinga
 
Magufuli angekuwa hai hiyo barabara ingefanywa kama ile ya Kimara kwenda stendi!
.
Shida kuna mataahira yalikuwa yanasema anajali maendeleo ya vitu.

Ngoja sasa wanaojali maendeleo ya watu wawakomeshe. Na hivi tuna misukule imeshika usukanj.
 
Kwani lazima yaende dar yaende mikoa mwingine🙏
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…