gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 14,889
- 18,593
Njia sita dar-moro siyo,na wakikopa WB na IMF napo mnapiga keleleHio njia usipotanuliwa kuwa njia sita hii kero haitaisha milele. Likiharibika Lori moja tu njia inafunga. Nashukuru huwa situmii hio njia kabisa. Napita zangu Bagamoyo.
Akili zenu sasa!Magufuli angekuwa hai hiyo barabara ingefanywa kama ile ya Kimara kwenda stendi!
.
Shida kuna mataahira yalikuwa yanasema anajali maendeleo ya vitu.
Ngoja sasa wanaojali maendeleo ya watu wawakomeshe. Na hivi tuna misukule imeshika usukanj.
Ilitengwa milioni 10 tu mkuu eti imalize tatizo la foleni Dar es salaam10m inatoka moja tu au kwa kila wazo?
Serikali haramu!! Hizo ni salaam kutoka GEN Z!!Uzembe
Wanajf inabidi tupambane 10m ije jamviniIlitengwa milioni 10 tu mkuu eti imalize tatizo la foleni Dar es salaam
Reli Km 2 kuingia bandarini inasababisha foleni hadi Chalinze?
Is it? Tuache utani wa Simba na Yanga mambo ya msingi.
Wamezindua bandari kavu lakini mizigo haiendi kule. Malori yote yanakuja Dar. Awamu hii ina upungufu wa akili.
SAsa mkuu unakuta hadi suala la kubeba taka huku mtaani analaumiwa samia, we unaona inamake sense?Ni samia
Nani alaumiwe?SAsa mkuu unakuta hadi suala la kubeba taka huku mtaani analaumiwa samia, we unaona inamake sense?
Tunaanza na serikali mtaa hadi ngazi ya wilayaNani alaumiwe?
Serikali ya mtaa unaanza kumuuliza nani?Tunaanza na serikali mtaa hadi ngazi ya wilaya
Issue ya taka, ukifika hapo yeyote halali yako maana huwa wanakusanya helaSerikali ya mtaa unaanza kumuuliza nani?
Kwahiyo kwenye issue ya barabara nani aulizwe?Issue ya taka, ukifika hapo yeyote halali yako maana huwa wanakusanya hela
Waanze kwa askari trafiki wa koa au zone na timu yake, waziri husika na timu yake, na wadau wa barabaraKwahiyo kwenye issue ya barabara nani aulizwe?
Haitasaidia! Traffick??Waanze kwa askari trafiki wa koa au zone na timu yake, waziri husika na timu yake, na wadau wa barabara
Naam wa mkoaHaitasaidia! Traffick??
Imetengwa Kwa ajili ya wanafunzi mkuu watoe mawazo ya kumaliza foleni.Wanajf inabidi tupambane 10m ije jamvini