ntemintale
JF-Expert Member
- Sep 6, 2016
- 956
- 1,878
Ndio nimetoka apo tangia saa 5 usiku...foleni ni kali sanaKuna foleni kubwa sana maeneno ya Ruvu Pwani inayosababishwa na matengenezo ya muda mrefu ya Daraja. Hii inachelewesha usafirishaji wa abiria na mizigo
Shida ni nini?
1. Speed ndogo ya ujenzi wa daraja ambapo ni zaidi ya miezi sita sasa au
2. Polisi wameshindwa kudhibiti foleni pamoja na kuwepo na michepuko miwili au
3. Kutanua holela kwa madereva wenye haraka.
TUJADILI
Ile barabara ya njia tatu inapaswa iende mpaka ChalinzeKipande cha chalinze mpaka maili moja kukesha ni jambo la kawaida
Hii ni zaidi ya foleni. Kuna mkwamo wa Hali ya juu sanaNdio nimetoka apo tangia saa 5 usiku...foleni ni kali sana
Kuna mtu tangu saa mbili USIKU Yuko Ruvu mpaka muda huu saa Tisa USIKU hajafika Mailimoja.Nimekutana nayo kwa komba nikiwa naelekea kwa mathias, nilijua ni leo tu bahati mbaya, kumbe watu wa pwani mmeshazoea.
Chini ya CCM nchi inaendeshwa kisanii tu, msitegemee maendeleo chanya chini ya utawala wa CCM.Kuna foleni kubwa sana maeneno ya Ruvu Pwani inayosababishwa na matengenezo ya muda mrefu ya Daraja. Hii inachelewesha usafirishaji wa abiria na mizigo
Shida ni nini?
1. Speed ndogo ya ujenzi wa daraja ambapo ni zaidi ya miezi sita sasa au
2. Polisi wameshindwa kudhibiti foleni pamoja na kuwepo na michepuko miwili au
3. Kutanua holela kwa madereva wenye haraka.
TUJADILI
Ile barabara ya njia tatu inapaswa iende mpaka Chalinze