😃😃😃😃kwani na wewe huwaga unapinga pinga serikali pendwa ya wanyonge...tuanzie hapo kwanza
Jiulize una sababu yoyote ya kutekwa?Ni Land cruiser yenye vioo tinted imesimama nje ya geti toka saa nne usiku na imeondoka alfajiri ya saa kumi
Namba zake ni t 456 ... Iliwekwa kiubavu. Dirisha lilifungulikwa kidogo.
Mkuu usihofu chochote.,,wale jamaa wa tala hawaji usiku..Ni Land cruiser yenye vioo tinted imesimama nje ya geti toka saa nne usiku na imeondoka alfajiri ya saa kumi
Namba zake ni t 456 ... Iliwekwa kiubavu. Dirisha lilifungulikwa kidogo.
Dunia ishabadilika Sana,,kweli wasiwasi ni muhimu lakini ulipaswa kuwajulisha viongozi wa mtaa mapema Sana ili kuwafuata hao walipaki hapo na kujua nia yao,,,Ni Land cruiser yenye vioo tinted imesimama nje ya geti toka saa nne usiku na imeondoka alfajiri ya saa kumi
Namba zake ni t 456 ... Iliwekwa kiubavu. Dirisha lilifungulikwa kidogo.
Unaongea kirahisi sana tofauti na uhalisia.Mi sioni ubaya mtu kupaki na kuamua kujipumzisha kidogo,,
Siku ingine ita bodaboda mwambie ahakikishe anaifuatilia wiki nzima ili kujua nani ni nani
Kwani wewe uko chama gani?Unaongea kirahisi sana tofauti na uhalisia.
Mtu anaanzaje kupark gari nje ya nyumba yako tena usiku bila hata kukupa taarifa?
Wewe unakuwa na uhakika gani kwamba anajipumzisha tu?
Kama amefanya tukio la kihalifu huko atokapo?
Kama anataka kukudhuru?
Tanzania imebadilika. Hizi sio enzi za
Nyerere.
Kwani wewe uko chama gani?
Chama cha watunza mazingira africa kusini mwa jangwa la saharaKwani wewe uko chama gani?