OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Hapa villa park Mwanza kuna gari ndogo ipo kwenye parking naona inatikisika yenyewe tu. Najaribu kuangalia kwa mbali kama kuna watu kwa ndani ili niweze kuwaokoa labda kuna tatizo. Gari ina tinted sioni vizuri.
Nikiona hali inazidi nitawaambia walinzi
Nikiona hali inazidi nitawaambia walinzi