Kuna gari ndogo inatikisika yenyewe tu parking hapa Villa Park

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
Hapa villa park Mwanza kuna gari ndogo ipo kwenye parking naona inatikisika yenyewe tu. Najaribu kuangalia kwa mbali kama kuna watu kwa ndani ili niweze kuwaokoa labda kuna tatizo. Gari ina tinted sioni vizuri.

Nikiona hali inazidi nitawaambia walinzi
 
Kwani villa park imeishaanza kutumika tena?
 
Nazani huyo anayetikisika humo kaopolewa pale kwenye giza nyuma ya ccm kilumba πŸ˜†
 
Kuna jamaa ndani anarekebisha siku hizi hatupeleki lorge tunalaza siti tuu
 
Mkuu kuna mdau hapo juu ameomba uweke ka video,mkuu usifanye hivyo ni mimi mwana jf mwenzio naomba unisitiri maana utaniharibia ndoa yangumkuu wifenaye ni member hapa jf ataona hako kagari mkuu.
Ila hajui ID yangu ya jf.
 
Mkuu vp inatikisika vip? Mbele nyuma au juu chini...najaribu kuimage style inayotumika humo ndani
 
Hicho ni kiwanda mkuu. Ukijaribu kugubudhi uendeshaji wake tutakufungulia kesi ya UHUJUMU UCHUMI.

Endelea na mambo yako.
 
Watu wanapiga nyungu Mkuu!
Endelea na hamsini zako!
 
Hahahaaa!! Mtani naona umeamua uhamie kwenye u- infomer sasa. Lol.

Hivyo ukaamua kujiondokea saa ngapi au ndo ulikaa mpaka mwisho. Teh πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…