Kuna gari za Kahama kwenda Bukoba?

Nyingi sana za kutoka Arusha-Bukoba, Dom-Bukoba, Dar-Bukoba zote zinapita Kahama

Za arusha zinapita Kahama saa 10 jioni kwenda Bukoba, lakin sikuhizi gari zinatembea masa 24 muda wowote unaweza kupata usafiri
 
Nauli ni shingap hapo kahama- bukoba na nimwendo wa masaa mangap
 
Nenda hapo stand ya kahama utakutana na machawa kibao ww ,waambie tu shida yako ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…