Kuna goli la mama kwenye mechi za Taifa Stars?

G Tank

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2023
Posts
2,297
Reaction score
8,760
Zile mil 5 kila goli za mama nashauri hawa stars wahaidiwe pia naona wanaanza vizuri wanahitaji hela tu kuwatia moyo

Cc mh naibu waziri husika
 
Huwa ninaona kwenye mechi za caf mabingwa na shirikisho kuna zawadi ya pesa taslim kwa kila goli linalofungwa kwa timu kama Yanga, Simba, Azam, n.k.

Kwenye mechi za taifa stars hio zawadi ipo?

Soma Pia:
mama mechi hii ya jana aliahidi 500 milioni acha goli la mama
 
Huwa ninaona kwenye mechi za caf mabingwa na shirikisho kuna zawadi ya pesa taslim kwa kila goli linalofungwa kwa timu kama Yanga, Simba, Azam, n.k.

Kwenye mechi za taifa stars hio zawadi ipo?

Soma Pia:
Lipooo hapo wana 10m
 
Hivi wanafunzi shule ya Tanganyika hatuoni huu upotevu warasilimali, unaofanywa kwa kivuli cha hamasa michezoni;
-Maji shida kwenye vijiji vingi.
-Upungufu wa wadawati, meza na vitabu mashuleni.
-Upungufu wa walimu mashuleni
-Zahanati na vituo vya afya Haina dawa pamoja na vifaa tiba vya kutosha.
-Vijana wengi hawana ajira na mitaji.
-Wakulima wanapangiwa bei za kuuza mazao.
Nk..
.Bado tunashangilia Bado la kiranja mkuu shuleni. Au kwa kuwa hatuna namna shuleni kwetu.
 
Kama wanapelekewa ruxuku za mbokea zinapigwa bora tubaki na hamasa tu
 
Back
Top Bottom