mama mechi hii ya jana aliahidi 500 milioni acha goli la mamaHuwa ninaona kwenye mechi za caf mabingwa na shirikisho kuna zawadi ya pesa taslim kwa kila goli linalofungwa kwa timu kama Yanga, Simba, Azam, n.k.
Kwenye mechi za taifa stars hio zawadi ipo?
Soma Pia:
Lipooo hapo wana 10mHuwa ninaona kwenye mechi za caf mabingwa na shirikisho kuna zawadi ya pesa taslim kwa kila goli linalofungwa kwa timu kama Yanga, Simba, Azam, n.k.
Kwenye mechi za taifa stars hio zawadi ipo?
Soma Pia:
Kama wanapelekewa ruxuku za mbokea zinapigwa bora tubaki na hamasa tuHivi wanafunzi shule ya Tanganyika hatuoni huu upotevu warasilimali, unaofanywa kwa kivuli cha hamasa michezoni;
-Maji shida kwenye vijiji vingi.
-Upungufu wa wadawati, meza na vitabu mashuleni.
-Upungufu wa walimu mashuleni
-Zahanati na vituo vya afya Haina dawa pamoja na vifaa tiba vya kutosha.
-Vijana wengi hawana ajira na mitaji.
-Wakulima wanapangiwa bei za kuuza mazao.
Nk..
.Bado tunashangilia Bado la kiranja mkuu shuleni. Au kwa kuwa hatuna namna shuleni kwetu.
Afu nawewe picha gani hiyo kwenye profile yako? huo ndo usha tunaosemaga kila siku au kwa vile jamaa alitrend juzi apa kwa mambo ya hovyo?Mama???? Anacheza namba ngapi??
Sema kuna hela za Rais???