Ninapata message kwenye screen sasa kwamba JK atakuwa anahutubia Taifa ama atakuwa anaongelea mambo mbali mbali , je ni kweli ama ni habari za mtaani ?
Mwenye nyeti azimwage hapa tujue namna ya kuipata hotuba ya Mkulu LIVE
kwanza asitupotezee timing atuache tuangalie mpira sisi..anaongea nini?ni dhahiri hana jipya au thread ya Rev.ya kumsifia Lowassa imemstua..hahaaaaa kazi anayo na mambo yake yya zima moto hayo