Kuna Haja au Umuhimu wa Shukran na Kupongezana Baada ya Tendo

Kuna Haja au Umuhimu wa Shukran na Kupongezana Baada ya Tendo

Tlaatlaah

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2023
Posts
24,665
Reaction score
25,388
Tendo la ndoa ni miongoni mwa vichocheo muhimu sana vya kuimarisha upendo miongoni mwa wachumba na wanandoa..

Baadae ya tendo, purukushani au zoezi zito sana, na tamu mno la ndoa kukamili katika ukamilifu wake..

Je,!
kuna haja ya wahusuka kila moja kumshukuru na kumpongeza mwenzake kwa kazi nzuri ilofanyika baada ya shughuli pevu kunako 6kwa6, ambayo nyote mmeshiriki vema? 🐒

au utaratibu wa kugeuka pembeni na kuuchapa usingizi na kukoroma kama vibration ya kiswaswadu uendelee mara tu, baada ya kuhitimisha tendo 🐒
 
Back
Top Bottom