GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Kuna faida gani labda ya Kimantiki Watu Kulazimisha (Kung'ang'ania) Kumuangalia Marehemu akiwa 'Jenezani' tena ameshalala Usingizi wake wa Milele na kwamba hata ukipita Kumuaga kwa kumsogelea au kumgusa na kulia kila aina ya kilio wala hawezi kukujua sana sana utakuwa ni kama vile unapaka tu Rangi upepo?
Haya Waaga 'Marehemu' hebu nijibuni.
Haya Waaga 'Marehemu' hebu nijibuni.