GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Sijasoma Mkuu hapa umemaanisha nini?High level of stupidity
High level of stupidity
kuna haja gani kuwapungia mkono wa kwa kheri watu wanaposafiri, maana hoja yako ina maana kuwa kuaga ni jambo baya kwa wale tulionao kila siku maishani mwetu..
Umeuliza Swali la 'Kitahaira' sana Mkuu.kuna haja gani kuwapungia mkono wa kwa kheri watu wanaposafiri, maana hoja yako ina maana kuwa kuaga ni jambo baya kwa wale tulionao kila siku maishani mwetu..
Nawapenda Watu 'brainy' kama Wewe.Unamuaga anaesafiri kwa sababu nae atakuaga na mtaelewana, maiti ataelewa kama umemuaga,? Na ukumbuke pale haelewi chochote kile maana hana ufahamu na uhai sasa kuna sababu gani ya kumuaga tena?
Hatumuagi kwa sababu atatuona,ile ni heshima ya mwisho kwa marehemu kwa sisi ambao bado tuko hai.Unamuaga anaesafiri kwa sababu nae atakuaga na mtaelewana, maiti ataelewa kama umemuaga,? Na ukumbuke pale haelewi chochote kile maana hana ufahamu na uhai sasa kuna sababu gani ya kumuaga tena?
Ukifa kuna haja ya Sisi kuja Kukuaga kwa Kukutizama ukiwa 'Jenezani' wakati kwa zaidi ya miaka 30 Bichwa lako Baya na Nyago ( Sura ) lako baya tunalijua?Unataka kusema nini mkuu
Kwani Kigezo kikuu cha Wewe kwenda Msibani ni Kumzika Marehemu au unajulikana umeenda Mazikoni kwa Kumtizama akiwa 'Jenezani' ameshalala na Pamba zake Puani na Masikioni?Hatumuagi kwa sababu atatuona,ile ni heshima ya mwisho kwa marehemu kwa sisi ambao bado tuko hai.
Kwa hoja yako maana yake hakuna hata sababu ya kuhuzuria mazishi maana hataona kama ulienda kumzika, hakuna haja ya kwenda kumzika.
Hoja yako imekosa msingi, ni hoja dhaifu.
Hizi ndizo Akili duni za 95% ya Africans.Hutamuona tena, angalau umuone kwa mara ya mwisho.
Acha kukompliketi mamboKuna faida gani labda ya Kimantiki Watu Kulazimisha (Kung'ang'ania) Kumuangalia Marehemu akiwa 'Jenezani' tena ameshalala Usingizi wake wa Milele na kwamba hata ukipita Kumuaga kwa kumsogelea au kumgusa na kulia kila aina ya kilio wala hawezi kukujua sana sana utakuwa ni kama vile unapaka tu Rangi upepo?
Haya Waaga 'Marehemu' hebu nijibuni.