Kuna haja gani ya kuweka gharama kubwa kwenye magari yanayotumia majina badala ya plate namba?

Kuna haja gani ya kuweka gharama kubwa kwenye magari yanayotumia majina badala ya plate namba?

mr c

Member
Joined
Jan 16, 2019
Posts
47
Reaction score
55
Habarini wadau!

Hivi kuna haja gani kuendelea kuchaji pesa nyingi kwa ajili ya kuweka jina kwa (plates namba) now ni milioni 5 kwa muda wa miaka mi3

Kama muitikio mdogo punguzeni gharama ili Serikali yetu ipate mapato zaidi ukifikiria sana Serikali yetu kuhusu kodi kama haina shida nayo na inaivimbia

Serikali yetu ina miradi mingi na inahitaji kodi kwa kiasi kikubwa kukabiliana nayo na kuendana na muda viongozi wenye dhamana rahisisheni ishu za kikodi ili mtu aone raha kulipia

Mie nashauri ingekua laki 5 hata ikiwa kwa mwaka ili mtathimini itaingiza kiasi gani kwa maana nna imani wengi wataweka kwa kuwa bei rafiki

Natanguliza shukran za dhati
 
Serikali yako inaamini gari ni anasa, kuweka jina lako utavimba….. haijali kodi inajua kuna tozo.

Huenda! Ila hatukupaswa kuwa huku kwa kodi,wenye Bandari sio wanufaika kabisa yani basi waweke hata mdaharo unaohusu mambo ya kodi walau ikusanye mawazo
 
Back
Top Bottom