super thinker
JF-Expert Member
- Nov 16, 2010
- 370
- 109
Wana JF,kuna haja gani ya muoaji/muolewa kutumia pesa mingi kwenye harusi or sendoff...ni tamaduni or fashion?????lengo hasa ni nn,kujionyesha/kuiga/kufurahi/mkumbo tu....Nimemshuhudia jamaa aki2mia 30 mil. along with a series of vikao vichoshavyo ajabu,wakati kapanga analipa 60,000 p.m.......baada ya muda ndoa ndoano.......tunahitaji mabadiliko ya kweli kwenye hii field jameni.......it begins :angry::angry: