super thinker
JF-Expert Member
- Nov 16, 2010
- 370
- 109
Hiyo sakramenti hutolewa mara moja (kwa wakristu) hairudiwi na iko kama kifo hakirudii mara mbili
Once in a life time sioni tatizo hapo
Hiyo sakramenti hutolewa mara moja (kwa wakristu) hairudiwi na iko kama kifo hakirudii mara mbili
Once in a life time sioni tatizo hapo
it is tru mama, but it has become too expensive. Na hii ni mojawapo ya sababu vijana wengi wakristo inawafanya wasioe mapema au kushindwa kabisa.
na hii inanifanya nichelewe kuoa, bado natafuta pesa za harusi
My dear
harusi za siku hizi nyingi ni
fashion, glamorous etc
Na mie si oni ubaya wowote kama
Una pesa zako ..
Na harusi za miaka hii ni business
Kuna TV program moja nimesahau jina
Watu wanashindana harusi ya nani ni better..
Kwa mie binafsi harusi kama hizi ni
Show off...
na wengi tunasahau maana ya ndoa/harusi
Lakini saa nyingine ni per pressure ya maisha yA
Kisasa..
it is tru mama, but it has become too expensive. Na hii ni mojawapo ya sababu vijana wengi wakristo inawafanya wasioe mapema au kushindwa kabisa.
D tatizo ni kwamba kuna kitu kinaitwa utamaduni. Unapojenga utamaduni fulani katika jamii, inatarajiwa watu waufuate maana ni utaratibu unaokubalika. Sasa kwa watu wengi hata kama hataki inakuwa ngumu kwake kukataa kwa sababu wengi wetu hatuna ubavu wa kufanya kinyume na matarajio ya jamii inayotuzunguka ( Mimi huwa sichangii harusi hata hivyo). Kwa hiyo ili kuwasaidia na wengine ambao hawaupendi huu utaratibu kunahitajika mabadiliko ya kimtazamo katika jamii nzima.Acheni kuchangia harusi mkae huru si lazima wajameni aiiii
Ni sawa unayosema DA lakini kwa fedha zako sio kutwa michango na mbaya unapokuwa kwenye kamati mara bajeti imekuwa kubwa kuliko makusanyo inabidi wanakamati wanaingia mfukoni kutoa chochote kitu. kweli mabadiliko yanatakiwa katika hili.
Mnanifurahisha sana mnalalamika lakini mwisho wa siku bado mtachangia ambaye hajawahi kuchanga au kuchangiwa kwenye harusi yake na awe wa kwanza kusema hapa