TEMILUGODA
JF-Expert Member
- Feb 11, 2012
- 1,389
- 285
Habari wanaJF!
Nimehuzunika sanasana tena sana leo hii baada ya kuwaona na kuwasikia Mawaziri wa Elimu ndugu Dk Kawambwa na Mulugo wakitangaza Ajira mpya za walimu zaidi ya elfu 26.
Yafuatayo ndiyo yaliyonihuzunisha:
1.DK SHUKURU KAWAMBWA"Walimu wasiende kugoma na kuandamana,waende kuinua kiwango cha elimu kwa shule za msingi na sekondari ambacho kimeshuka".
2.Mulugo"Mwaka huu posho ya kujikimu itakayotolewa kwa walimu wapya itakuwa ya siku saba [7]tu na siyo siku kumi na nne[14]tena na kwamba hakuna nauli ya mizigo kwani hawa waajiriwa hawawi na mizigo wanapoanza kazi".
PENDEKEZO:
Ni vema hapa ilipofikia serikali ya Tanzania kuzingatia sifa za Mawaziri wa Elimu kwamba wawe wamewahi kufundisha mfululizo aidha shule za msingi ama sekondari kwa zaidi ya miaka mitano[5] ili kulinda maadili ya uongozi wa tasnia ya Elimu hapa nchini.
Katika hapa sina maana ya wataalamu kama makatibu,wakurugenzi,maafisa wengine nk.Tabia ya wadau wa Elimu hapa nchini kuendelea kucheka na wachemkaji wa wizara ya Elimu kama hao hapo juu hakika muda si mrefu tutavuna mabua.
ANGALIA MAJALIWA KASIMU MAJALIWA, halalamikiwi kwa sababu amefundisha kwa muda mrefu na hivyo kujua sheria za kazi na haki ya mwalimu nk.