Kuna haja ya Dodoma kuondolewa hadhi ya jiji iliyopata awamu iliyopita?

Kuna haja ya Dodoma kuondolewa hadhi ya jiji iliyopata awamu iliyopita?

Moderator tunaomba msifute hii mada...
Nahisi baada ya 2025 DODOMA itarudi tena kama ilivyokuwa zamani ingawa ilipitishwa Sheria bungeni ya kuifanya kuwa makao makuu
 
Hata tukibaki Na Jiji Moja sidhani kama Kweli tatizo la watanzania sahivi Ni hadhi ya mikoa. So far yote Ni mikoa Na Ni ndani ya JMT.

Nahisi nchi hii sahivi Ina matatizo makubwa yenye kuhitaji watu kuyajadili Na kuchemsha vichwa Zaidi ya majina ya mikoa, tuhepuke simple minds kujadili matukio Baraka ya issues
 
Back
Top Bottom