Peasant educator
JF-Expert Member
- Mar 13, 2020
- 209
- 187
Niwieni Radhi, mada ni:
Kuna haja ya katiba ya JMT kujumuishwa mwenye mitaala ya elimu nchini.
Nawasilisha.
Nimeona mijadala mingi kuhusu katiba ya nchi yetu ila cha kustaajabisha ni kwamba wananchi wengi wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania hawaijui katiba yao na wengine ata kuwa nayo hawana, sio soft copy wala hard copy.
Ningependa kushauri wadau wa taaluma/elimu nchini na wizara husika ya elimu kueka elimu ya katiba kwenye masomo ya civics kwa O-level au vile wao wataona inafaa ili wananchi wapate kujua kilichoandikwa na kukielewa.
Tatizo linalojitokeza mbali na kutofundishwa kwa katiba yetu mashuleni, wananchi hawajajengewa hulka au tabia ya kujisomea vitabu mbalimbali, hivyo muamko wa wananchi kuitafuta katiba hiyo na kusoma unakuwa mdogo. Hali hii hupelekea watu kutoijua katiba yao hata kidogo na kutojua haki zao za kikatiba na kubaki kutengeza matatizo katika nchi. Mbali na hapo uzalendo hukosekana pia sio kwa makusudi lakini ni kutokana na mitaala yetu kutokidhi matwakwa kabisa. Hivyo mbali na kuomba taasisi husika na wadau kuekea mkazo suala la katiba kufundishwa mashuleni, waeke mkazo pia kwenye uwekezaji wa usomaji wa vitabu maana vitu viwili hivi ni muhimu kwa taifa letu.
Pia wizara ya elimu wafanyie kazi maagizo ya rais ilikuwa na mitaala yenye kujenga tija ya wanataaluma wetu. Wengi wao hawajaajengewa hulka ya kusoma vitabu hali ambayo husababisha watu wengi kupoteza uwezo wa kusoma vitabu, na pia huchangia secta nyengine kudorora kama vile biashara ya magazetu sababu hanna wasomaji magazeti JMT. Mbali na hapo waandishi wa vitabu pia huadimika au kukosekana kabisa nchini kwani wanataaluma wetu hawafundishi kuhus uandishi wa kusoma vitabu.
Uandishi huo pia huzorotesha secta ya filamu na mziki nchini kwani secta hizo hutegemea sana uandishi bora wa tenzi na tamhilia na narratives zake, yani zile dialogue za kwenye tamthilia huwa hazina mvuto ata. Siwezi fafanua zaidi kwenye tamthilia mana sio mbobezi wa hiyo secta. Na renzo za muziki wetu sio nzuri yani ni kupayuka tu na tenzi za ngono mana hawana chengine cha kuimba.
Naeka mkazo kwenye masomo mawili Kiswahili na English, yani masomo ya lugha ndo hutumika kujengea watu wetu uwezo wa kusoma na uandishi. Mfano toka form 1 usomaji wa vitabu,, na uchanganuzi (literature) ndo upewe kipaumbele pamoja na uandishi na sio kuanza form 3 au form 4. Wengi wa wanafunzi hawasomi hivo vitabu form 3 au form 4 sababu walimu huwaandaa na mitihani ya taifa ya form 4 kwa kutumia summary zilizoandaliwa kutokana na mitihani iliyotangulia na huu ndo uhalisia wa mambo.
Mitaala hiyo iache kujikita na kufundisha vitenzi na nomino mana primary kwa miaka saba wanafunzi wanafundishwa hivo vitu. Elimu unatakiwa iwe endelevu ma sio repetition ya vitu inakuwa haileti mantiki. Hivyo basi vitu hivyo ambavyo vilifundishwa primary vikumbushikwe kwenye upembuzzi nadhani (literature) pamoja na ujuzi mwengine. Hii itajengea uwezo watu wetu wa kusoma ,kuandika na pia kuweza kuuza secta ya biashara ya magazeti pamoja na uandishi, uchapishaji na uuzaji wa vitabu mbali mbali na kutengeneza ajira kwa vijana wetu. Yani Akira za uandishi na uchapishaji mana nchi za wenzetu zinafaidika sana na secta hiyo ya vitabu na magazeti kwa ujumla wake.
Napenda kueka hapa katiba ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania kwa lugha ya kiengereza sababu sina ya kiswahili. Alie mayo anaweza kuiweka kwa maslahi mapana ya nchi yetu. Tusome na tuielewe na inapotokea huelewi tafuta wataalamu wakueleweshe maana sheria zina utaalam wake.
Pia napendekeza jina la nchi yetu lisikatishe maana watu wanakupa wagumu kuelewa huko baadae kuwa nchi ni Tanzania au ni Jamhuri ya muungano wa Tanzania, hivyo litumike lote kwenye kila kitu na itambulike kwa watu wote kuwa jina la nchi hii no JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA.