Habari Jf, nimefuatilia baadhi ambazo zinakuwa zikirushwa mubashara kuna kitu fulani kinaongezeka katika kuonyesha haki inatendeka.
Itapunguza mambo mengi kufichwa na udanganyifu. Mtu akisema mimi nafanya kazi central au naishi Morogoro maana yake kuna watu wengi watamuona kwa sura na itasaidia kumtambua, mtu akisema naitwa Goodluck kuna watu watakuwa wanamjua vizuri.
Kama tulishindwa kwa kesi ya Mbowe nadhani hii ya hawa wabunge ni vyema ikawa live, ukichukulia kuna uwezekano washalitia taifa hasara kubwa kwa kulipwa pesa ambazo hawakustahili kulipwa .