Kuna haja ya klabu ya Yanga kubadili jezi yake

Ngurubhe

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2014
Posts
1,840
Reaction score
1,049
aedb678e3c91dfdb8ebdda8acf684655.jpg

Mim ni shabiki wa Yanga lakini pia ni Mwanamabadriko kisiasa.huwa mara nyingi siku kama ya leo nashindwa kuvaa sare za Yanga, kwani huwa najihisi navaa rangi inayofanana na ya ccm,niseme kweli huwa siipendi CCM.Ni shabiki mdogo sana kiasi kwamba hata sijawahi kuonana na kiongozi yoyote wa yanga, pengine ningekuwa shamupa dukuduku langu ili wakikaa huko vikaoni walijadili hili.

Nasema hivi kwa sababu najua nguvu ya rangi katika kufikisha ujumbe,wapo wanaosema sababu za kihistoria ati ndio maana kko hivyo.

Kwangu sababu hizo naona hazina mashiko kwani michezo ina nafasi ya kutuunganisha bila kujali itikadi zetu,sasa kama nikiona rangi inayofanana na chama fulan cha kisiasa nashindwa kujizuia kuichukia team pia.Na nibora nikashabikia team kuliko chama...

Naamin kuna siku kuna mtu atapitia uzi huu na kulijua kama ni moja ya tatizo la kisaikolojia katika vichwa vya baadhi ya watu wenye mapenzi na Yanga lakini muda huohuo hawana mapenzi na ccm then wanajikuta wanaichukia CLUB YA YANGA bila kujua sababu.

Itakuwa ni jambo jema kwa ccm kama mtu ataanza na kuipenda yanga,then baadae akapenda ccm..lakin mim naamin na wengine wengi tunaipenda yanga lakini hatuipendi ccm..na ningependa kuvaa jezi za timu yangu lakini sio hizi!!....nichekeni lakin huo ndio mtazamo wangu....

kama upo simba nakupenda pia kwani wew utabaki kuwa mtani wangu tu.....
 
Yanga = CCM,
Acha wabaki hivyohivyo tu
 
Nami naipenda Yanga ila ccm no......ila kama usemavyo binafsi jezi za Yanga zinanikwaza kwa kweli....natamani ifike mahali tubadilishe tu.
 
Pia nilipata kupita makao makuu ya yanga nikakuta matangazo ya chagua magufuli nilishkndwa kuvumilia nikarudi nyuma. Hebu mliangalie hili jambo viongozi linakwaza sana
 
aedb678e3c91dfdb8ebdda8acf684655.jpg

Mim ni shabiki wa Yanga lakini pia ni Mwanamabadriko kisiasa.huwa mara nyingi siku kama ya leo nashindwa kuvaa sare za Yanga, kwani huwa najihisi navaa rangi inayofanana na ya ccm,niseme kweli huwa siipendi CCM.Ni shabiki mdogo sana kiasi kwamba hata sijawahi kuonana na kiongozi yoyote wa yanga, pengine ningekuwa shamupa dukuduku langu ili wakikaa huko vikaoni walijadili hili.

Nasema hivi kwa sababu najua nguvu ya rangi katika kufikisha ujumbe,wapo wanaosema sababu za kihistoria ati ndio maana kko hivyo.

Kwangu sababu hizo naona hazina mashiko kwani michezo ina nafasi ya kutuunganisha bila kujali itikadi zetu,sasa kama nikiona rangi inayofanana na chama fulan cha kisiasa nashindwa kujizuia kuichukia team pia.Na nibora nikashabikia team kuliko chama...

Naamin kuna siku kuna mtu atapitia uzi huu na kulijua kama ni moja ya tatizo la kisaikolojia katika vichwa vya baadhi ya watu wenye mapenzi na Yanga lakini muda huohuo hawana mapenzi na ccm then wanajikuta wanaichukia CLUB YA YANGA bila kujua sababu.

Itakuwa ni jambo jema kwa ccm kama mtu ataanza na kuipenda yanga,then baadae akapenda ccm..lakin mim naamin na wengine wengi tunaipenda yanga lakini hatuipendi ccm..na ningependa kuvaa jezi za timu yangu lakini sio hizi!!....nichekeni lakin huo ndio mtazamo wangu....

kama upo simba nakupenda pia kwani wew utabaki kuwa mtani wangu tu.....
mkuu naungana na wewe , linapo kuja swala la jez za timu ya yanga limekuwa likitupa shida tulio mashabiki wa yanga na sio wafuasi wa siasa wala sisiem.Hii imefanya baadhi ya watu kushindwa hata kununua jezi za yanga sababu ya rangi zake kuendana na yanga na wengine wamehama timu,cha msing timu ibadili jezi ama wakishindwa tunaozichuki a jezi hizo tujiengue kuepuka fedheha ya uhusiano wa timu na chama
 
Rangi zote zinatumika na wengi, na hapa hiyo utayoichagua pia itakua inatumika na wengine wabaya wako..... Mimi ni Yanga, pia ni mpinzani na hao mafisiemu, ila sioni tatizo lolote kwakua sijajenga fikra hizo, naangalia nembo tu.
 
Sijui watu huwa wanawaza nini mkuu, yaan rangi iondolewe kirahisi kisa mtu ana ihusianisha na chama!!!
Sisi watalaamu wa rangi tunajua tunachomaanisha ,kama hujui effect ya rangi am beyond your capability,kuna uhusiano wa karbu sana kati ya kitu haris na rangi..kuna wengine wanaweza kushabkia kitu kwa sabab ya rangi.

Kwa mfano unaoneje kama ningechora picha ya Mbuzi au Ng'ombe wa blue?.

Utashindwa kuhusisha picha ya Mbuzi na rangi kwa sabab hakuna uhusiano kati ya rangi ya blue na Mbuzi yaani hakuna Mbuzi/Ng'ombe wa blue.

Huo mfano tu,kwa maana ya kuwa kuna uhusiano kati ya rangi moja na muonekano wa kitu kingine .ACT walifanya kosa kuchagua rangi ambayo tayar ilikuwa inatumika na teamu.

Walifanya makusdi bila kukosea kimkakati....anaelewa atanielewa ukiona umeshindwa kunielewa ujue hujui nini maana ya rangi....
mkuu naungana na wewe , linapo kuja swala la jez za timu ya yanga limekuwa likitupa shida tulio mashabiki wa yanga na sio wafuasi wa siasa wala sisiem.Hii imefanya baadhi ya watu kushindwa hata kununua jezi za yanga sababu ya rangi zake kuendana na yanga na wengine wamehama timu,cha msing timu ibadili jezi ama wakishindwa tunaozichuki a jezi hizo tujiengue kuepuka fedheha ya uhusiano wa timu na chama
 
Sisi watalaamu wa rangi tunajua tunachomaanisha ,kama hujui effect ya rangi am beyond your capability,kuna uhusiano wa karbu sana kati ya kitu haris na rangi..kuna wengine wanaweza kushabkia kitu kwa sabab ya rangi.

Kwa mfano unaoneje kama ningechora picha ya Mbuzi au Ng'ombe wa blue?.

Utashindwa kuhusisha picha ya Mbuzi na rangi kwa sabab hakuna uhusiano kati ya rangi ya blue na Mbuzi yaani hakuna Mbuzi/Ng'ombe wa blue.

Huo mfano tu,kwa maana ya kuwa kuna uhusiano kati ya rangi moja na muonekano wa kitu kingine .ACT walifanya kosa kuchagua rangi ambayo tayar ilikuwa inatumika na teamu.

Walifanya makusdi bila kukosea kimkakati....anaelewa atanielewa ukiona umeshindwa kunielewa ujue hujui nini maana ya rangi....
kama nimekuelewa unamaanisha ni vigumu yanga kubadilisha rangi kwa vile kuna uhusiano na chama,kwa kipindi hicho bila shaka ilikuwa na mantiki,ila kwa sasa baadhi yetu hatuwezi shangaa kuona mchoro wa mbuzi wa bulue kwa vile hiyo ni rangi tu
 
Najua kama michoro ya sasa haiangalii uharisia,lakini mantiki yangu ni kuwa ccm haiwez kubadli rangi yake,ila yanga wabadili ili kutoa dhana ya kuihusisha na u-ccm hasa kwa watu wasio na mapenz na ccm
 
Acheni mawazo hayo ninyi. Zinacheza jezi kwani? Yanga Na ccm Nani kaanza??
 
Sijui watu huwa wanawaza nini mkuu, yaan rangi iondolewe kirahisi kisa mtu ana ihusianisha na chama!!!
Siasa zimewaharibu vijana, kiasi kwamba kila kitu kwenye maisha yao ni siasa tu.!
Yaani Yanga ya 1920 ibadilishe jezi kisa CCM ya 77.!?
 
ww jamaa kuwa mpole kabisaaa
mbona Mbowe ni shabiki kindakindaki wa yanga?
 
Back
Top Bottom