barnabas masoko
JF-Expert Member
- Aug 8, 2016
- 1,298
- 659
Nadhani wote ni mashahidi wa shule hizi za serikali hasa zile kongwe kabisa kwani miundombinu sio rafiki tena.aidha kwa wakati zilizijengwa au kukosekana kwa ukarabati wa mara kwa mara.
Shule hizi kwa kweli hazijaasiliwa sana na sera mpya ya elimu bila ada.kwani shule no zile zile na Kila kitu ni vile vile.
Shule haziendani na hali halisi tuliyonayo na hili laweza kuwa si jukum la serikali peke yake kuna wadau leo walopitia shule hizo na ni maalufu mola kawajalia mema wanatakiwa ludi kwenye misingi na kusema asante. Kwenye masherehe harusi n tafrija mbalimbali tunawaona watu wakijitoa kweli kweli na kuchangia kadi za masherehe, ni jambo jema na la kuungwa mkono Watanzania tutazame upande wa pili michango ya kujenga mashule inapingwa kwa nguvu sana na kiukweli wapingaji Hawa a sababu za msingi.
Kuna kampeni nyingi sana zinaanzishwa na zinafanikiwa big up malissa popote ulipo umeonyesha mfano kwenye maisha halisi ya jamii zetu, tuwapate wapi wakina malissa watatu kwenye elimu yetu Tanzania hasa ya msingi.
Wabunge na mawaziri Iko wapi mipango ya kimkakati kutuvusha hapa. Vita halisi ni Ile ulotambua udhaifu wako na ukawa tayari kuutumia kama fursa. Na adui ujinga tukimshindwa kwenye msingi nazani bomu linalokuja hakuna ataekuwa tayari kukabili madhara yake.
Shime Watanzania kwa kuutumia njia mbalimbali za kuunda makundi ya shule mlizotoka huko WhatsApp Facebook tunaweza kufanya kitu kikubwa kwa maslahi ya watoto wetu na vizazi vijavyo.
Tufanye kuchangia kwa hiyari mola anapotujalia na kuziludia shule za msingi tulizopitia na kutia mkono kuunga mkono juhudi.
Kwenye kampeni za waomba madaraka maswali ya msingi yawe ni shule zetu afya zetu tuwahoji wamejipanga kuleta chachu ya namna Gani kutusaidia kwenye mazingira haya.