Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,669
- 8,268
Nadhani sasa tunaona umuhimu wa kuwa na ligi inayoendeshwa kwa viwango vya kisasa, professional FA inayoratibu kwa weledi mpira kwa manufaa ya nchi nzima na siyo timu mbili za Kariakoo, kuvutia uwekezaji mkubwa kwenye vilabu, uwepo wa academy nzuri, viwango bora vya makocha kwa vilabu vyetu, tupunguze uswahili na siasa kwenye mpira.
Na Shida ni Kwamba Wamiliki wa mpira hawatakubali hilo litokee kamwe. Hatutaki kukubali kuwa tunaendesha mpira wetu vibaya. Tuanzie hapo ili tuupatie tiba.
Expedience. As long as wao wanapata wanachotaka, rekodi. Nia siyo kushindana katika uwanja ulio sawa. Ukiangalia harakati za uchaguzi wa viongozi wa mpira ndiyo utajua kuwa maslahi binafsi au ya makundi ndiyo sifa ya uchaguzi
Ebu Jaribu ku propose outsourcing ya Bodi ya Ligi usikie kelele zake.
Wakuu Mpira ni mbinu Kaizer Chief walitulaghai mara oo hatujapata nafasi ya kupumzika mara wachezaji wao ni majerui uku nasi tukiangalia msimamo wa ligi yuko mbali tukajisahau yakatokea hayo.