APA CHICAGO
JF-Expert Member
- Oct 20, 2019
- 259
- 292
Waliohamia kutoka Chadema tutawachagua tu maana Mbowe alikuwa anawaongoza kidkteta
Unapata wapi muda wa kumjibu huyu jamaaMkuu bia yetu wewe unapiga kura majimbo mangapi?
Nadhani ingetungwa sheria anayehama asigombee uwakilishi wowote.Huwezi kutangaza sera za chama fulani ukachaguliwa kwa sera hizo.kisha kabla yakumaliza kipindi chako ukaanza kuziponda sera hizohizo ulizo chaguliwa nazoOctober 2020 kuna uchaguzi mkuuu wa Rais, Wabunge na Madiwani.
2015-2020 baada ya uchaguzi kuisha baadaye tulishuhudia wabunge na madiwani wakihama vyama vyao na bahati mbaya sana wamelitia taifa hasara kwa faida zao binafisi.
Tumeingia gharama za kurudia uchaguzi katika maeneo mengi fedha ambazo zingeweza kufanya kazi nyingine. Je, kuna haja ya hawa watu wakiomba kuchaguliwa tena wachaguliwe tena?
Je, watu hawa hawatahama vyama vyao tena tukaingia gharama za kurudia uchaguzi tena?
Mkuu sana kilasi Mkuu nakuunga mkono kwa 100%Na
Nadhani ingetungwa sheria anayehama asigombee uwakilishi wowote.Huwezi kutangaza sera za chama fulani ukachaguliwa kwa sera hizo.kisha kabla yakumaliza kipindi chako ukaanza kuziponda sera hizohizo ulizo chaguliwa nazo
Ha ha ha Una hasira nao sana?hakuna haja kbs, bora kubaki jimbo bila mbunge!.
Angeweza zuia hasara Kama Ingekuwa ni kinyume chake yaani wanahamia upinzani toka ccm hapa suala la gharama lingeonekana.Unaona hao wabunge ndio wanalitia hasara taifa? Jiulize ni nani anayehamasisha hao wabunge kuhamahama kisha kukimbilia kutangaza chaguzi ndogo? Unafikiri wanaamua wenyewe kuhama hivi hivi bila motisha yoyote? Nani anayetoa pesa kwa ajili ya chaguzi hizo? Inamkera? Huyo ndiye mwenye mamlaka ya kusimamia mwenendo wa wanasiasa nchini. Ndiye anayeweza kuzuia tusipate hasara hizi za kijinga - AKIAMUA.
Kifupi ni kuwa mfumo wa vyama vingi vya siasa hapa Tz hauwezekani.