Kuna haja ya kuchunguza kinachowakimbiza wateule wa Rais kwenye vyeo vyao, yawezekana wamechoka kutumikishwa

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Ukichunguza kwa makini utagundua kwamba wengi wa hawa wanaojiripua hawana uwezo wa kupenya kwenye kura za maoni au hata kuupata ubunge wenyewe hata wakipita kwenye mchujo .

Kwa mfano Watu kama Katambi , Ole Sendeka, Kitila Mkumbo au David Kafulila , hawa hata wafanye kampeni bila kuvaa chochote , hakuna atakayewachagua , lakini mbona wameacha kazi walizopewa wakiwa wamepigika ? kuna nini huko kwenye utumishi wa kuteuliwa , mbona walioteuliwa na kupewa nafasi hizo , tena wakiwa wamechoka mno wanaondoka ?

Kafulila baada ya maisha kumwendea kombo alianzisha mradi wa kupigisha muziki kwenye maharusi na kipaimara huko Kigoma , ina maana anaacha kazi ili arudi kwenye biashara hii ? wakuu ni lazima tuwe wakweli , kwenye hizi kazi za kuteuliwa kuna shida
 
Kabisa kuna tatizo kubwa linachemka chini kwa chini nafikiri wateule wengi wamechoka kufanya kazi kwa shuruti na wanatafuta mwanya wa kusepa ili mradi tu waondokane na shuruti. Kama si woga uliojengeka siku hizi nadhani tungekuwa tumeshuhudia mapinduzi tayari. Nafikiri akipatikana mtu jasiri wa kulianzisha basi tutaona jiwe akikimbilia chattle tena.
 
Kila dakika uzi hivi hamna kazi ya kufanya?? Katiba inasemaje? Na wewe acha kazi yako kagombee!
 
Ukichunguza kwa makini utagundua kwamba wengi wa hawa wanaojiripua hawana uwezo wa kupenya kwenye kura za maoni au hata kuupata ubunge wenyewe hata wakipita kwenye mchujo .

Kwa mfano Watu kama Katambi , Ole Sendeka, Kitila Mkumbo au David Kafulila , hawa hata wafanye kampeni bila kuvaa chochote , hakuna atakayewachagua , lakini mbona wameacha kazi walizopewa wakiwa wamepigika ? kuna nini huko kwenye utumishi wa kuteuliwa , mbona walioteuliwa na kupewa nafasi hizo , tena wakiwa wamechoka mno wanaondoka ?

Kafulila baada ya maisha kumwendea kombo alianzisha mradi wa kupigisha muziki kwenye maharusi na kipaimara huko Kigoma , ina maana anaacha kazi ili arudi kwenye biashara hii ? wakuu ni lazima tuwe wakweli , kwenye hizi kazi za kuteuliwa kuna shida
Uchochezi
 
Aliweka makada wasio na weledi wala taaluma akitegemea anaifurahisha CCM. Acha wamchape dharau na mimi nasema achapwe tu maana hakuna namna.
 
"WAMECHOKA KUTUMIKISHWA"
Sijawahi soma upupwu kama huu. umekosa ya kushusha nondo.. njoo nikupe..

Kabisa hilo ndilo unaona.. litasaidia upinzani wenu!!... 😅😅😅😅
 
Back
Top Bottom